Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaelekea
kuhitimishwa Alhamisi hii, ambapo baadhi ya timu shiriki zimeonyesha
ushindani wa kweli huku zingine zikionekana kama washiriki tu na
wasindikizaji.
Timu 14 zinashiriki Ligi Kuu msimu huu ambazo ni
Azam FC, Yanga, Simba, Coastal Union, Mgambo Shooting, Oljoro JKT,
Kagera Sugar na Ashanti United.
Nyingine ni Mtibwa Sugar, Mbeya City, Tanzania Prisons, JKT Ruvu, Ruvu Shooting na Rhino Rangers.
Hizi zifuatazo zina njaa na fursa ya kutwaa ubingwa
Azam
Iliunza msimu huu kwa kusuasua kwani ilianza kwa
kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar, lakini ilibadilika kadri
muda ulivyosonga na kuvuna matokeo mazuri yaliyoipaisha juu katika
msimamo wa ligi.
Azam ina fursa ya kutwaa ubingwa msimu huu
kutokana na kuwa na kikosi kilichokamilika, pia inamaliza mzunguko wa
kwanza ikiwa katika nafasi za juu katika msimamo wa ligi.
Yanga
Haikuwa na wakati mzuri mwanzoni mwa msimu baada
ya kuambulia sare mfululizo katika mechi zake tatu, hata hivyo taratibu
ilianza kubadilika na mpaka sasa ipo katika nafasi za juu kwenye msimamo
wa Ligi.
Inaweza kutetea taji msimu huu kutokana na kuwa na
kikosi chenye mchanganyiko wa wachezaji walioiva vizuri kila idara,
hailazimiki kuongeza mchezaji wakati wa usajili wa dirisha dogo mwezi
Januari.
Simba
Je wako tayari kurejea Somalia?
Umoja wa mataifa hii leo
unajitayarisha kuanza utafiti katika kambi mojawapo kubwa ya wakimbizi
duniani Daadab kaskazini mwa Kenya kuchunguza ni kiasi gani cha
wakimbizi takriban nusu milioni wa kisomali wapo tayari kurudi nchini
mwao.
Wiki iliyopita serikali ya Kenya, Somalia pamoja
na shirika la UNHCR, zilitia saini makubaliano ya kuwarudisha nyumbani
wakimbizi hao.Mwandishi wa BBC Bashkas Jugosdaaya alizuru kambi ya Daadab
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni