
Kitaalamu, mtindio wa ubongo unaelezwa kuwa ni hali inayompata mwanadamu
kwa ubongo wake kushindwa kufanya kazi katika utaratibu wa kawaida.
Kimsingi, ni uwezo wa ubongo kutokukua vizuri na kushindwa kufanya kazi
yake katika mazingira yake ya kawaida.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni